Jinsi watu wanavyofaidika na huduma ya Tanzua Express

Jinsi watu wanavyofaidika na huduma ya Tanzua Express

Tanzua Express ni huduma ya ununua bidhaa kutoka China, Marekani, Uturuki na Dubai, Tanzua Express inatoa huduma ya usafirishaji bidhaa kutoka nchi zote tajwa hapo juu.

Toka kuanza kwake, imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya usafiirishaji kutokana na huduma zake bora za haraka na rahisi zaidi.
Tanzua Express ina hudumia watu wengi na imeamikana sana na wajasiriamali, serekali, makampuni na Taasisi mbali mbali katika nchi za africa mashariki.

Leo nataka tuzungumzie huduma zinatolewa na Tanzua Express

Kupokea
Tunapokea mzigo kutoka kwa supplier wako, Haijalishi ni sehemu gani China, Marekani, Dubai au uturuki. Tanzua Express tuna huduma ya kufuata mzigo wako kutoka sehemu ulionunua na kuweka tayari kwa maandalizi ya kusafirisha kwenda Tanzania.

Tunatunza
Baada ya kufuata mzigo wako kutoka kwa wauzaji wako. ni jukumu letu kutnza mzigo wako.
Tunatunza mziko wako kuwa tayari kusafirisha kwenda Tanzania.
Tunahakikisha mzigo wako umapakiwa salama na kila kitu kimekaa kwa usalama.
Tunahakikisha bidhaa ulionunua kutoka kwa muuzaji ndio tulioipokea.

Tunasafirisha
Tukiakisha mzigo wako huko salama, tunachukua hatua ya kufirisha mpaka sehemu husika.
Tunasafirisha mzigo wako kwa muda wa siku 28 tu.
Huduma ya usafirishaji ya Tanzua Express ni haraka na salama zaidi, lengo letu ni kukuza biashara kwa wateja wetu. tunatoa huduma ya haraka inayopatika Tanzua Express tu.

Tunakuleta

Tunakuletea mzigo wako hapo ulipo.huna sababu ya kufuata mzigo wako godown kwetu. Tanzua Express tunausafiri wetu tunahakikisha kuwa mteja wetu anapokea mzigo wake sehemu alipo.

Kuwa miongoni wanaofahidi huduma kutoka Tanzua Express, huduma inayohudumia zaidi ya watu Million kumi.
[contact-form][contact-field label=”Name” type=”name” required=”true” /][contact-field label=”Email” type=”email” required=”true” /][contact-field label=”Message” type=”textarea” required=”true” /][/contact-form]